WAENDESHA pikipiki wa kata ya Mbwara, Mkoa wa Kipolisi Rufiji wamepatiwa kofia ngumu (helmet) kwa ajili ya kutumia wakiwa ...
WANAWAKE waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka jana, ...
VIJANA 20 kutoka kikundi cha Mishemishe, kijijini Mangubu, kata ya Tongwe, wilayani Muheza, mkoani Tanga wamechangia chupa 11 ...
RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema nyumba nyingi zilizojengwa na mwasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar baada ya ...
KOCHA Mkuu wa KenGold, Omari Kapilima, amesema ameandaa programu maalum kwa mchezaji Bernard Morisson, ambaye amesaini ...
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, Simba, leo itakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Olympique Hammadi Agrebi, nchini Tunisia kucheza mchezo wa raundi ya nne hatua ...
KLABU ya Tabora United imesema kwa sasa hakuna mazungumzo na klabu yoyote yanayoendelea juu ya uhamisho wa winga wao, Offen ...
HUKU ikiwa inahitaji pointi tatu muhimu kuweka hai matumaini yao ya kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga jana iliisambazia 'Gusa, achia, tende kwao' TP Mazembe na kuifumua mabao 3 ...
ULIPOANZISHWA tu, ulikutana na hoja kinzani kuhusu hatima ya usalama wa mazingira, lakini uongozi wa juu serikalini ukatolea ...
HERI ya Mwaka Mpya msomaji wangu. Tumshukuru sana Mungu kwa uhai huu aliotukarimu kwa upendo wake mwingi. Tunaendelea ...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesimamishwa na askari wa usalama barabarani na kukaguliwa gari ...
BARAZA la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili Mwaka ...